Tena Hag Mkutano na Waandishi wa Habari 🗣:
"Ni mechi za kabla ya msimu lakini kwenye soka unacheza ili kushinda. Kwa hiyo mwishowe ni muhimu kushinda, lakini bila shaka katika maandalizi ya msimu huu pia tunatakiwa kuikuza timu yetu kwa hiyo hilo pia ni lengo kubwa sana la mchezo. "
"Kutoka katika kila eneo la timu, nataka tija. Hilo ndilo jambo muhimu zaidi, kwamba wachezaji wachukue hatua ya kwanza ndani na nje ya mpira, katika kushambulia na kulinda."
"Siwezi kusema kwamba tunacheza man marking. ila Wakati fulani tunacheza man marking. Tunataka ku press, tunataka ku press kutwa nzima na kucheza soka la kustaajabisha. Wakati mwingine tunaweza kufanya hivyo lakini kama haiwezekani, tuna kusoma kama timu na kushuka chini. Lakini tunataka ku press na hilo liwe lengo siku nzima."
"Nilishasema hapo awali, Manchester United ina uwezo mkubwa. Wachezaji wazuri kweli, wachezaji wazoefu lakini pia vijana wengi, vijana wadogo ambao wana uwezo mkubwa. Tunatakiwa kuutoa uwezo hivyo na tufanye kazi kwelikweli.. Man United ni maarufu kuhusu hilo na Marcus Rashford hapa nadhani ni ishara ya Academy ya Manchester United na vipaji zaidi vijavyo vinavyofuata."
#manunitedfans#transfernews#mufcyoutube#mufcfans#tezos#eriktenhag#mufcnews#manunitedfans#manunitednews#manunitedindonesia#footballkits#soccerjerseys#manchesterunitednews#footballkit#tenhag#premierleaguemuunifmunifmuniceflague#manunitednewsstfansstfannstfannstfannstfannstfannstfannstfannstfansst jezi ya soka #manutdnews 😈 #espnfc#breakingnews🚨 #preseasontraining#manutdfc#preseasonfootball